Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba Ndugu Michael Agustino Matomora akipanda mti Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida Mandewa.
Zoezi la upandaji miti Kimkoa limeongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Halima Dendego ikiwa ni Maadhimisho ya siku ya Uhuru wa Tanzania Bara ambayo huadhimishwa kila mwaka ifikapo Disemba 9.
Jumla ya Miti 501 imepandwa eneo la Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida Mandewa kuadhimisha sherehe za Uhuru Mkoani Singida.
Kauli Mbiu ya Maadhimisho ya Miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara: “UONGOZI MADHUBUTI NA USHIRIKISHWAJI WA WANANCHI NI MSINGI WA MAENDELEO YETU.”
KIOMBOI, IRAMBA
Anuani ya Posta: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Simu: 026 - 2532253
Simu: 026 - 2533001
Barua pepe: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.