MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI WILAYA YA IRAMBA
Mgeni Rasmi Mhe. Aysharose Mattembe Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida akikabidhi zawadi ya Jezi za mpira seti moja, Taulo za kike boksi 15, mprira mmoja wa miguu na wa Pete kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari Shelui Wilayani Iramba wakati wa maadhimisho ya Siku ya wanawake Duniani, katika viwanja vya Shule ya Sekondari Shelui Machi 4, 2025.
KIOMBOI, IRAMBA
Anuani ya Posta: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Simu: 026 - 2532253
Simu: 026 - 2533001
Barua pepe: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.