MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI WILAYA YA IRAMBA
Mgeni Rasmi Aysharose Mattembe Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida akikabidhi zawadi ya Mchele gunia moja, Sukari kilo 60 na Sabuni ya unga kilo 50 kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum Shule ya Msingi Kizega Wilayani Iramba wakati wa maadhimisho ya Siku ya wanawake Duniani, katika viwanja vya Shule ya Sekondari Shelui Machi 4, 2025.
KIOMBOI, IRAMBA
Anuani ya Posta: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Simu: 026 - 2532253
Simu: 026 - 2533001
Barua pepe: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.