Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba Bwana. Linno Mwageni akiwa na Mganga Mkuu wa Wilaya ya Iramba Dr. Boniphace Marwa na Viongozi kutoka Wizara ya Afya, Tamisemi na Viongozi wa Mkoa wa Singida wakikagua ukarabati wa Ujenzi wa Kituo cha Afya cha Ndago Wodi ya Wazazi iliyojengwa ambayo ipo Ngazi ya Msingi. Pamoja na Kituo cha Afya Kinampanada Kata ya Kinampanda.
KIOMBOI, IRAMBA
Postal Address: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Telephone: 026 - 2532253
Mobile: 026 - 2533001
Email: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.