Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba Mkoani Singida Mwl Linno Mwageni Akiwa site na Mwandisi Philimon Msomba Wakisimamia Ujenzi na Ukarabati wa daraja lenye urefu wa Mita 60, Kina cha Mita 6 na Upana wa mita 6 lilalojengwa kijiji cha Mtoa kata ya Mtoa Wilaya ya Iramba.
KIOMBOI, IRAMBA
Anuani ya Posta: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Simu: 026 - 2532253
Simu: 026 - 2533001
Barua pepe: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.