Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mhe. Halima Dendego, leo Mei 19, 2025 amezindua rasmi Kamati ya Ushauri wa Kisheria ngazi ya mkoa na wilaya pamoja na kliniki ya sheria bila malipo kwa wananchi.
Uzinduzi huo umefanyika katika Stendi ya Zamani, Manispaa ya Singida, na umeongozwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Hamza S. Johari.
Mpango huu unalenga kusaidia wananchi wenye changamoto mbalimbali za kisheria kwa kuwapatia msaada wa kitaalamu bila gharama kama ambavyo Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan imekuwa ikielekeza.
KIOMBOI, IRAMBA
Anuani ya Posta: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Simu: 026 - 2532253
Simu: 026 - 2533001
Barua pepe: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.