Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mkoani Singida Mh. Emmanuel Luhahula pamoja na Afisa Kilimo wa Wilaya Bi Malyetha Kasongo Hayupo Pichani wamefanya ziara ya kukagua Kilimo cha Mashamba ya Pamba Kata ya Mtekente Tarafa ya Ndago na Kata ya Mtoa Tarafa ya Shelui Wilaya ya Iramba Mkoa wa Singida. Wamefanya hivyo kutekeleza agizo la Waziri Mkuu ya kuwa Kilimo cha Pamba na Korosho kilimwe katika Mikoa yote Tanzania.
KIOMBOI, IRAMBA
Postal Address: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Telephone: 026 - 2532253
Mobile: 026 - 2533001
Email: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.