MRADI WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA SHULE YA SEKONDARI SHELUI WAZINDULIWA
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2025, Ndugu Ismail Ali Ussi, azindua mradi wa nishati safi ya kupikia katika Shule ya Sekondari Shelui Julai 21, 2025.
Mradi huo wenye Thamani ya Shilingi Milioni 27.7 ni juhudi za Serikali katika kuhakikisha taasisi za Umma zinaachana na matumizi ya kuni na kulinda mazingira.
KIOMBOI, IRAMBA
Anuani ya Posta: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Simu: 026 - 2532253
Simu: 026 - 2533001
Barua pepe: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.