• Malalamiko |
    • Kuhusu sisi |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Maoni |
Iramba District Council
Iramba District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Sura
    • Maadili ya Misingi
    • Mikakati
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya kwanza
    • Afya
    • Kilimo
    • Elimu
    • Maji
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Utawala
    • Idara
      • Mipango, Takwimu & Ufuatiliaji
      • Afya
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Idara ya Ardhi na Mipango miji
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Maji
      • Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mazingira na Usafishaji
      • Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA NA UHUSIANO
      • Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo Cha Ufugaji Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Mfuko wa Maendeleo ya Jamii-TASAF
    • Muundo wa Halmashauri
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Riport
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
      • Fomu za Maombi kwa Wateja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao Mbalimbali
  • Salary Slip

MRADI WA SEQUIP WAJENGA SHULE 6 MPYA IRAMBA - DC MWENDA

Posted on: July 28th, 2025


Serikali kupitia mradi wa Kuboresha Ubora wa Elimu ya Sekondari (SEQUIP) imetumia Bilioni 6.361 kujenga shule mpya sita za sekondari, shule sita zimefanyiwa ujenzi wa upanuzi wa miundombinu ya kidato cha 5 na 6, Ujenzi wa vyoo na nyumba za walimu katika Wilaya ya Iramba mkoani Singida.


Akitoa taarifa ya miradi ya elimu iliyojengwa katika Wilaya ya Iramba, Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mhe Suleiman Mwenda amesema kuwa ujenzi wa shule hizo utaimarisha sekta ya elimu ikiwemo kuongeza ufaulu wa wanafunzi.


Amezitaja shule hizo zilizojengwa wilayani hapo kuwa ni pamoja na Ujenzi wa shule ya sekondari -MALUGA uliogharimu shilingi Milioni 470, Ujenzi wa shule ya sekondari NDULUNGU uliogharimu shilingi milioni 470, Ujenzi wa shule ya sekondari -Mtoa darajani uliogharimu shilingi milioni 544.225.


Miradi mingine mipya ni pamoja na Ujenzi wa shule ya sekondari -Makunda uliogharimu shilingi milioni 544.225, Ujenzi wa shule ya sekondari-KIZEGA uliogharimu shilingi milioni 544.225, na Ujenzi wa shule ya sekondari Amali-Kitukutu uliogharimu shilingi Bilioni 1.6. Pia ujenzi wa vyoo matundu 9 shule ya sekondari MTOA kwa gharama ya shilingi milioni 15.3 na Ujenzi wa vyoo matundu 9 katika shule ya sekondari SHELUI kwa gharama ya shilingi milioni 15.3


Katika hatua nyingine Mwenda ameipongeza serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Mhe Dkt samia Suluhu Hassan kwa kusimamia kwa weledi Ujenzi wa nyumba 1 ya mwalimu (2 in 1) katika shule ya sekondari MALUGA kwa gharama ya shilingi Milioni 110, Ujenzi wa nyumba 1 ya mwalimu (2 in 1) katika shule ya sekondari NDULUNGU kwa gharama ya shilingi milioni 110, na Ujenzi wa nyumba 1 ya mwalimu (2 in 1) katika shule ya sekondari IRAMBA kwa gharama ya shilingi Milioni 95.

Kuhusu ujenzi wa upanuzi wa miundombinu ya kidato cha 5 na 6, Mhe Mwenda amesema kuwa jumla ya shule sita zimepata miundombinu hiyo ikiwemo shule ya sekondari LULUMBA iliyopata kiasi cha shilingi milioni 352.8, Shule ya sekondari TUMAINI shilingi milioni 252.4, Shule ya sekondari NDAGO shilingi milioni 362.4, Shule ya sekondari KINAMBEU shilingi milioni 362.4, Shule ya sekondari KIZAGA shilingi 362.4, Kizaga 316.4






Tangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI KUJADILI NA KUPOKEA TAARIFA YA CAG MWAKA WA FEDHA 2023/2024 TAREHE 18, JUNI 2025 June 16, 2025
  • ZOEZI LA CHANJO YA KITAIFA YA HOMA YA MAPAFU KWA NG'OMBE, SOTOKA KWA MBUZI NA KONDOO, NA MDONDO KWA KUKU January 08, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU KWA ROBO YA PILI YA MWAKA WA FEDHA 2024/2025. March 12, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI June 05, 2025
  • Angalia Zaidi

Habari mpya

  • WAJASIRIAMALI IRAMBA WAPEWA WITO WA KUCHANGAMKIA ZABUNI ZA VYAKULA

    August 02, 2025
  • WAJASIRIAMALI WADOGO 283 IRAMBA WAELIMISHWA UBUNIFU, MASOKO NA USAJILI KUPITIA MFUMO WA WAJASILIAMALI PORTAL (WBN-MIS)

    August 02, 2025
  • HERI YA SIKUKUU YA NANENANE 2025

    August 08, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA IRAMBA YAADHIMISHA WIKI YA UNYONYESHAJI

    August 06, 2025
  • Angalia Zaidi

Video

wanafunzi wakiimba wimbo wa TAZAMA RAMANI katika maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika wilayani Iramba
Video Zaidi

Linki za Haraka

  • Organisation Structure
  • Mission and Vision
  • Reports
  • Water Department

Linki Zinazohusiana

  • OFISI YA RAIS-TAMISEMI
  • OFISI YA RAIS-UTUMISHI NA UTAWALA BORA
  • WATUMISHI PORTAL
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA
  • SEKRETARIETI YA AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Kuhusu sisi

    KIOMBOI, IRAMBA

    Anuani ya Posta: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA

    Simu: 026 - 2532253

    Simu: 026 - 2533001

    Barua pepe: ded.irambadc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Faragha
    • Kanusho
    • FAQ
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.