• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Comments |
Iramba District Council
Iramba District Council

The United Republic of Tanzania Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Iramba District Council

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Sura
    • Maadili ya Misingi
    • Mikakati
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya kwanza
    • Afya
    • Kilimo
    • Elimu
    • Maji
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Utawala
    • Idara
      • Mipango, Takwimu & Ufuatiliaji
      • Afya
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Idara ya Ardhi na Mipango miji
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Maji
      • Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mazingira na Usafishaji
      • Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA NA UHUSIANO
      • Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo Cha Ufugaji Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Mfuko wa Maendeleo ya Jamii-TASAF
    • Muundo wa Halmashauri
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Riport
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
      • Fomu za Maombi kwa Wateja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao Mbalimbali
  • Salary Slip

MRADI WA SEQUIP WAJENGA SHULE 6 MPYA IRAMBA - DC MWENDA

Posted on: August 16th, 2025

Serikali kupitia mradi wa Kuboresha Ubora wa Elimu ya Sekondari (SEQUIP) imetumia Bilioni 6.361 kujenga shule mpya sita za sekondari, shule sita zimefanyiwa ujenzi wa upanuzi wa miundombinu ya kidato cha 5 na 6, Ujenzi wa vyoo na nyumba za walimu katika Wilaya ya Iramba mkoani Singida.


Akitoa taarifa ya miradi ya elimu iliyojengwa katika Wilaya ya Iramba, Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mkoani Singida Suleiman Mwenda amesema kuwa ujenzi wa shule hizo utaimarisha sekta ya elimu ikiwemo kuongeza ufaulu wa wanafunzi.


Amezitaja shule hizo zilizojengwa wilayani hapo kuwa ni pamoja na Ujenzi wa shule ya sekondari -MALUGA uliogharimu shilingi Milioni 470, Ujenzi wa shule ya sekondari NDULUNGU uliogharimu shilingi milioni 470, Ujenzi wa shule ya sekondari -Mtoa darajani uliogharimu shilingi milioni 544.225.


Miradi mingine mipya ni pamoja na Ujenzi wa shule ya sekondari -Makunda uliogharimu shilingi milioni 544.225, Ujenzi wa shule ya sekondari-KIZEGA uliogharimu shilingi milioni 544.225, na Ujenzi wa shule ya sekondari Amali-Kitukutu uliogharimu shilingi Bilioni 1.6. Pia ujenzi wa vyoo matundu 9 shule ya sekondari MTOA kwa gharama ya shilingi milioni 15.3 na Ujenzi wa vyoo matundu 9 katika shule ya sekondari SHELUI kwa gharama ya shilingi milioni 15.3


Katika hatua nyingine Dc Mwenda ameipongeza serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Mhe Dkt samia Suluhu Hassan kwa kusimamia kwa weledi Ujenzi wa nyumba 1 ya mwalimu (2 in 1) katika shule ya sekondari MALUGA kwa gharama ya shilingi Milioni 110, Ujenzi wa nyumba 1 ya mwalimu (2 in 1) katika shule ya sekondari NDULUNGU kwa gharama ya shilingi milioni 110, na Ujenzi wa nyumba 1 ya mwalimu (2 in 1) katika shule ya sekondari IRAMBA kwa gharama ya shilingi Milioni 95. Kuhusu ujenzi wa upanuzi wa miundombinu ya kidato cha 5 na 6, DC Mwenda amesema kuwa jumla ya shule sita zimepata miundombinu hiyo ikiwemo shule ya sekondari LULUMBA iliyopata kiasi cha shilingi milioni 352.8, Shule ya sekondari TUMAINI shilingi milioni 252.4,NDAGO shilingi milioni 362.4, KINAMBEU shilingi milioni 362.4, Shule ya sekondari KIZAGA shilingi 316.




Announcements

  • TANGAZO KUHUSU UJIO WA MADAKTARI BINGWA HOSPITALI YA WILAYA YA IRAMBA-KIOMBOI February 20, 2026
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU January 02, 2026
  • ZOEZI LA CHANJO YA KITAIFA YA HOMA YA MAPAFU KWA NG'OMBE, SOTOKA KWA MBUZI NA KONDOO, NA MDONDO KWA KUKU January 08, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU KWA ROBO YA PILI YA MWAKA WA FEDHA 2024/2025. March 12, 2025
  • View All

Latest News

  • MAONESHO YA MATUMIZI YA PEMBEJEO ZA KILIMO (MBEGU, MBOLEA NA VIUATILIFU) HALMASHAURI YA WILAYA YA IRAMBA DISEMBA 29-30, 2025

    December 28, 2025
  • HERI YA SIKUKUU YA KRISMASI NA MWAKA MPYA 2026

    December 25, 2025
  • DC MWENDA AWATAKA WALIMU IRAMBA KUONGEZA UBUNIFU NA BIDII KUINUA UFAULU

    December 09, 2025
  • HERI YA MIAKA 64 YA UHURU WA TANZANIA BARA

    December 09, 2025
  • View All

Video

wanafunzi wakiimba wimbo wa TAZAMA RAMANI katika maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika wilayani Iramba
More Videos

Quick Links

  • Organisation Structure
  • Mission and Vision
  • Reports
  • Water Department

Related Links

  • OFISI YA RAIS-TAMISEMI
  • OFISI YA RAIS-UTUMISHI NA UTAWALA BORA
  • WATUMISHI PORTAL
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA
  • SEKRETARIETI YA AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    KIOMBOI, IRAMBA

    Postal Address: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA

    Telephone: 026 - 2532253

    Mobile: 026 - 2533001

    Email: ded.irambadc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service

Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.