Mwenge wa Uhuru wilaya ya Iramba ulikimbizwa takribani umbali wa kilomita 150 kuanzia Kataa ya Kaselya hadi kata Kiomboi ambapo ni Makao makuu ya Wilaya ya Iramba,
mahali ambapo Mwenge ulikesha.
Katika kata ya Kaselya
Ratiba ya Mwenge wa Uhuru wilaya ya Iramba
MAHALI
|
UMBALI
|
MUDA
|
TUKIO
|
MUHUSIKA
|
Kaselya
|
0
|
11.30-12.00
|
Kamati ya uratibu kuwasili
|
Mkuu wa Wilaya
|
Kaselya
|
12.00-1.30
|
Wananchi kukusanyika
|
Mkuu wa Wilaya
|
|
Kaselya
|
1.30-2.00
|
Viongozi wa wilaya kuwasili
|
-Mkuu wa Wilaya
-Viongozi wa Wilaya ya Iramba |
|
Kaselya
|
2.00-2.30
|
Makabidhiano ya mwenge wa uhuru
|
Wakuu wa Wilaya ya Singida na Iramba
|
|
Kaselya
|
0.05
|
2.30-2.35
|
Mwenge wa uhuru kuelekea nyumba bora ya mwananchi
|
Mkuu wa Wilaya
|
Kaselya
|
00
|
2.35-2.45
|
Kufungua nyumba bora ya mwananchi
|
Kiongozi wa Mbio za Mwenge
|
Mbelekese
|
9.8
|
2.45-3.00
|
Mwenge wa uhuru kuelekea kijiji cha mbelekese
|
Mkuu wa Wilaya
|
Mbelekese
|
00
|
3.00-3.10
|
Mwenge wa uhuru kuzindua kikundi cha akina mama (Upendo group)
|
Kiongozi wa Mbio za Mwenge
|
Ushora
|
20
|
3.10-3.35
|
Mwenge wa uhuru kuelekea ushora
|
Mkuu wa Wilaya
|
Ushora
|
00
|
3.35-3.45
|
Mwenge wa uhuru kuweka jiwe la msingi zahanati ya ushora
|
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru.
|
Ushora
|
0.3
|
3.45-4.45
|
Ujumbe wa mwenge
|
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru.
|
Ushora
|
|
4:45-5:30
|
Chai
|
Mkuu wa Wilaya
|
Ujungu
|
8.3
|
5:30-.5:40
|
Mwenge wa uhuru kuelekea kijiji cha ujungu.
|
Mkuuwa Wilaya
|
Ujungu
|
00
|
5:40-5:50 |
ZAHANATI YA UJUNGU
|
KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU.
|
Mtoa
|
25
|
5:50-6:10
|
MWENGE WA UHURU KUELEKEA MTO MTOA
|
MKUU WA WILAYA
|
Mtoa
|
00
|
6:10-6:20
|
Kuweka jiwe la msingi ujenzi wa daraja la mto na makaravati.
|
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru
|
Nselembwe -shelui
|
13
|
6:20-6:40
|
Mwenge wa uhuru kuelekea kijiji cha nselembwe –shelui
|
Mkuu wa Wilaya
|
Nselembwe -shelui
|
00
|
6:40-6:50
|
Kufungua ghala la kuhifadhi mazao ya chakula na biashara
|
Kiongozi wa Mbio za Mwenge
|
Nselembwe -shelui
|
00
|
6:50-7:10
|
Ujumbe wa mwenge
|
Kiongozi wa Mbio za Mwenge
|
Nselembwe -shelui
|
.2
|
7:10-8:10
|
Chakula
|
Mkuu wa Wilaya
|
Salala
|
.37
|
8:10-:8:40
|
Mwenge wa uhuru kuelekea kiji cha old kiomboi (salala).
|
Mkuu wa Wilaya
|
Salala
|
00
|
8:00:40-8:50
|
Kuweka jiwe la msingi kiwanda cha kusindika mboga mboga-salala
|
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru.
|
Sekondari ya new kiomboi
|
|
8:50-9:00
|
Mwenge wa uhuru kuelekea sekondari ya new kiomboi
|
Mkuu wa Wilaya
|
Sekondari ya new Kiomboi
|
4
|
9:00-9:10
|
Kuzindua nyumba za walimu (6 in 1)
|
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa uhuru
|
Stendi ya mabasi
|
3
|
9:10-9:20
|
Mwenge wa uhuru kuelekea viwanja vya mkesha (stendi ya mabasi)
|
Mkuu wa Wilaya
|
Stendi ya mabasi
|
00
|
9:20-9:50
|
|
Kiongozi wa Mbio za Mwenge
|
Stendi ya mabasi
|
|
9:50-10:50
|
Risala ya utii
|
Mkuu wa Wilaya
|
Stendi ya mabasi
|
|
10:50-11:00
|
Ujumbe wa Mwenge wa Uhuru 2017
|
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru
|
Stendi ya mabasi kiomboi
|
|
11:00-2:00
|
Mkesha na burudani mbalimbali
|
Mkuu wa Wilaya
|
Kiomboi
|
|
2:00-3:00
|
Chakula cha mchana
|
Mkuu wa Wilaya
|
Stendi ya mabasi kiomboi
|
|
|
Mkesha wa mwenge
|
Mkuu wa Wilaya
|
|
00
|
12.00-1.00
|
CHAI
|
MKUU WA WILAYA
|
Kuelekea kijiji cha Tumuli
|
60
|
1:00-3:00
|
Makabidhiano ya mwenge wa uhuru wilaya ya iramba na mkalama.
|
Mkuu wa Wilaya
|
Tumuli
|
0
|
3:00-3:30
|
Mkuu wa wilaya iramba na mkuu wa wilaya mkalama
|
Kiongozi wa Mbio za Mwenge
|
KIOMBOI, IRAMBA
Anuani ya Posta: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Simu: 026 - 2532253
Simu: 026 - 2533001
Barua pepe: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.