Mwenyekiti wa Halmashauri, Innocent Msengi ameongoza kikao Cha baraza la Madiwani ya Robo ya tatu katika Halmashauri ya Iramba
Akiongea katika Baraza hilo Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo, Innocent Msengi aliwataka Madiwani kwa kushirikiana na Wakuu wa Idara na Vitengo kusimamia ukusanyaji wa mapato.
Mkuu wa wilaya ya Iramba Mhe: Suleiman Mwenda amewata madiwani kusimamia miradi ya Maendeleo,iliyopo kwenye kata zao Ili Kuhakikisha Fedha zilizotolewa na Serikali zinatumika kama ilivyokusudiwa.
Akiongea katika kikao Cha baraza la Madiwani ya Robo ya tatu katika Halmashauri ya Iramba DC Mwenda amesema kuwa katika Wilaya zilizo ibua miradi mingi,ni pamoja na Wilaya ya Iramba,kwani imeweza kupata Fedha nyingi hasa katika idara ya Afya ambayo imepata Fedha za miradi zaidi ya Bilioni 5 kwa ajili ya Ujenzi wa Miundombinu yake.
Aidha DC Mwenda amesema kuwa katika idara ya Elimu Msingi imepata Fedha nyingi zaidi ya Bilioni 1.5, Huku katika sekta hiyo zimekuja zaidi ya Tsh. Bilioni 5 kwa ajili ya Ujenzi wa Chuo Cha VETA kinachojengwa eneo la Salala Old Kiomboi katika Wilaya ya Iramba.Amesema Fedha za Elimu ni kwa ajili ya kujenga Madarasa,Nyumba za Walimu pamoja na vyoo vya wanafunzi Shuleni.
Waheshimiwa madiwani wakiwa katika kikao Cha baraza la Madiwani ya Robo ya tatu katika Halmashauri ya Iramba

Wakuu wa idara na vitengo wakiwa katika kikao Cha baraza la Madiwani ya Robo ya tatu katika Halmashauri ya Iramba
KIOMBOI, IRAMBA
Anuani ya Posta: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Simu: 026 - 2532253
Simu: 026 - 2533001
Barua pepe: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.