Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mhe. Halima Dendego ameongoza ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo Wilayani Iramba, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mapokezi ya Mwenge wa Uhuru unaotarajiwa kufika Julai 21, 2025.
Ziara hiyo ya siku moja, Julai 11, 2025 ilihusisha Kamati ya Usalama ya Mkoa & Wilaya, viongozi wa Halmashauri, TARURA, na RUWASA, kwa lengo la kuhakikisha miradi inakamilika kwa ubora na wakati.
KIOMBOI, IRAMBA
Anuani ya Posta: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Simu: 026 - 2532253
Simu: 026 - 2533001
Barua pepe: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.