Leo, Tarehe 26 Agosti, 2025, mwanariadha Verynice Meena kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Iramba ameshika nafasi ya sita katika mbio za mita 400, na nafasi ya Saba katika mbio za mita 200, ikiwa ni hatua ya fainali ya mbio hizo katika Mashindano ya Michezo ya Shirikisho la Michezo Serikali za Mitaa Tanzania (SHIMISEMITA) yanayoendelea kufanyika jijini Tanga.
Kwetu sisi kucheza FAINALI miongoni mwa Halmashauri 150 katika mashindano haya, ni ushindi mkubwa.
KIOMBOI, IRAMBA
Postal Address: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Telephone: 026 - 2532253
Mobile: 026 - 2533001
Email: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.