Tarehe 26 Agosti, 2025, mwanariadha Verynice Meena kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Iramba alishika nafasi ya sita katika mbio za Mita 400, na nafasi ya Saba katika mbio za Mita 200, ikiwa ni hatua ya fainali ya mbio hizo katika Mashindano ya Michezo ya Shirikisho la Michezo Serikali za Mitaa Tanzania (SHIMISEMITA) yaliyo hitimishwa Agosti 29, 2025 jijini Tanga.
Kwetu sisi kucheza FAINALI miongoni mwa Halmashauri 150 katika mashindano haya, ni ushindi mkubwa.
IRAMBA DC TUMEWAKILISHA ☑️
KIOMBOI, IRAMBA
Anuani ya Posta: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Simu: 026 - 2532253
Simu: 026 - 2533001
Barua pepe: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.