UJENZI WA KITUO CHA AFYA MTOA HALMASHAURI YA WILAYA YA IRAMBA
Serikali ya awamu ya sita katika kuboresha huduma za afya wilayani Iramba ikitoa jumla ya Shilingi 680,000,000 kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha Afya Mtoa ili kupunguza Adha ya wananchi wa Kata ya Mtoa kutembea umbali mrefu kufuata huduma za afya.
Shukrani kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan na Mbunge wa Jimbo la Iramba magharibi Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Mwigulu Nchemba kwa kuendelea kutatua kero kwa wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba.
KIOMBOI, IRAMBA
Anuani ya Posta: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Simu: 026 - 2532253
Simu: 026 - 2533001
Barua pepe: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.