UJENZI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI KIZEGA KUPITIA MRADI WA SEQUIP
Shule Mpya ya Sekondari Kizega iliyopo Kitongoji Cha Kizega Kata ya Kiomboi inayojengaa kupitia Program ya Sequip kwa Gharama ya TSH 544,225,626.00.
Mradi huu wenye majengo kama Vyumba nane vya madarasa,Maabara 3 za Biolojia,Kemia na Fizikia,Maktaba 1,Chumba Cha Kompyuta1, na Matundu 11 ya vyoo (Matundu 5 Wavulana na Matundu 6 Wasichana )
Mradi huu kukamilika kwake umeondoa adha ya wanafunzi kutembea umbali mrefu zaidi ya kilometa 8 kupata Elimu. Wanafunzi kitooanKitongoji Cha Kizega,RURUMA,Tutu na maeneo ya jirani watanufaika na uwepo wa Shule hii ya Sekondari Kizega.
KIOMBOI, IRAMBA
Anuani ya Posta: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Simu: 026 - 2532253
Simu: 026 - 2533001
Barua pepe: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.