Kamati ya Mwenge wa Uhuru mkoa wa Singida wakiambatana na katibu tawala wa wilaya ya Iramba Ndg. Pius S Songoma pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Iramba Mwl. Linno Mwageni, na wakuu wa Idara wa Halmashauri ya wilaya ya Iramba wamefanya ziara ya kukagua Miradi ya Maendeleo.
Tanki la maji katika Kijiji cha Mugungia kata ya kaselya linalogawa majikatika vitongoji vya Ndyala kati, Ndyala juu, Mwandu, Ugani na Msisi.
Ujenzi wa kituo cha Afya Kinampanda kilichopo kijiji cha Kyalusangi kataya Kinampanda Tarafa ya Kinampanda wilaya ya Iramba Mkoa wa Singida.
Ujenzi na Ukarabati wa barabara yenye kilometa saba (7km) kutokaKyengenge hadi Makunda wilaya ya Iramba mkoa wa Singida.
Kiwanda cha kusindika Mbogamboga kilichopo salala Kata ya Oldkiomboi wilayani Iramba.
Ujenzi na ukarabati wa Jengo la Bweni lilipo shule ya sekondari ya lulumba kata ya old kiomboi wilayani iramba
Mradi wa bwawa la ufugaji Samaki lililopo eneo la magereza Kiomboi kata ya Kiomboi wilaya ya Iramba.
KIOMBOI, IRAMBA
Anuani ya Posta: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Simu: 026 - 2532253
Simu: 026 - 2533001
Barua pepe: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.