Ofisi ya Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji ya Halmashauri ya wilaya ya Iramba imefanya ziara ya kukagua Miradi mbalimbali ya maendeleo wilayani Iramba mkoani Singida.
Ujenzi wa Daraja la Mtoa lenye urefu wa Mita60, Kina cha Mita 6 na Upana wa mita 6 linalojengwa Kijiji cha Mtoa kata ya Mtoa Wilaya ya Iramba mkoa wa Singida.
Mradi wa ujenzi wa vyumba vitatu vya Maabara katika shule ya sekondari Ushora kata ya Ndago wilaya ya Iramba Mkoani Singida ambao upo katika hatua ya mwisho.
Mradi wa ujenzi wa vyumba vitatu vya Maabara katika shule ya sekondari Urughu kata ya Urughu Tarafa Ndago wilaya ya Iramba Mkoa wa Singida.
Mradi wa Ujenzi wa kituo cha Afya Ndago kinachojengwa kata ya Ndago wilaya ya Iramba Mkoa wa Singida.
Ujenzi wa nyumba ya Walimu yenye vyumba viwili (two in one) katika shule ya Msinigi Songambele kata ya Ndago wilaya ya Iramba ambao hupo hatua ya kupauliwa.
Ujenzi wa Hostel shule ya sekondari Ndago Kata ya Ndago wilaya ya Iramba mkoa wa Singida.
Mradi wa ujenzi wa Zahanati ya Ushora kata ya Urughu Tarafa ya Ndago wilaya ya Iramba mkoa wa Singida.
Mradi wa ujenzi vya vyumba vitatu vya Madarasa katika shule msingi Mtekente Kijiji cha Lunsanga kata ya Mtekente ambao upo hatua ya kupauliwa.
Ujenzi wa chumba kimoja cha Darasa shule ya msingi Kigurunsungi iliyopo Kijiji cha Lunsanga kata ya Mtekente wilaya ya Iramba mkoa wa Singida.
Mradi wa ujenzi wa vyumba vitatu vya Maabara katika shule ya sekondari Mtekente kata ya Mtekente Tarafa ya Shelui wilaya ya Iramba mkoa wa Singida.
Mradi wa Ujenzi wa vyumba nne vya Madarasa na Ofisi moja katika shule ya msingi Ikaranga kata Mtoa wilaya ya Iramba Mkoa wa Singida.
Mradi wa ujenzi wa vyumba nne vya Maabara katika shule ya sekondari Mtoa kata ya Mtoa wilaya ya Iramba mkoa wa Singida.
KIOMBOI, IRAMBA
Anuani ya Posta: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Simu: 026 - 2532253
Simu: 026 - 2533001
Barua pepe: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.