Mradi wa ujenzi wa vyumba viwlili na ofisi moja katika shule Shikizi yaUlyang’ombe inayojengwa Kijiji cha Makunda Kata ya Kyengege wilaya ya Iramba.
Mradi wa Ujenzi Vyumba viwili na Ofisi Moja katika Shule shikizi Isenenkwa inayojengwa katika Kitongoji cha Isenenkwa Kijiji cha Misuna kata ya Mbelekesewilaya ya Iramba mkoa wa Singida.
Ujenzi wa matundu manne ya vyoo wasichana matundu mawili na wavulana matundu mawili katika shule shikizi Isenenkwa inayojengwa katika Kitongoji cha Isenenkwa kijiji cha Misuna Kata ya Mbelekese wilaya ya Iramba Mkoa wa Singida.
Mradi wa ujenzi wa vyumba vitatu vya maabara katika shule ya sekondari Kaselya ambao upo hatua ya umaliziaji katika Kijiji cha Kaselya kata ya Kaselya wilaya Iramba Mkoa wa Singida.
Mradi wa ujenzi wa ofisi ya Kijiji cha Kyengege kata ya Kyengege wilayaya Iramba mkoa wa Singida
Mradi wa ujenzi wa chumba kimoja cha darasa na choo chenye matundu sitakatika shule ya msingi Maluga Kijiji cha Maluga kata ya Maluga wilaya yaIramba.
Ujenzi wa Zahanati ya Makunda inayojengwa Kijiji cha Malunga kata ya Kyengege wilaya ya Iramba Mkoa wa Singida.
Ujenzi wa nyumba ya watumishi wa Zahanati ya Makunda yenye vyumba viwili(two in one) inayojengwa katika Kijiji cha Makunda kata ya Kyengege wilaya ya Iramba.
Mradi wa Ujenzi wa Zahanati ya Misuna katika Kijiji cha Misuna Kata ya Mbelekese.
Ujenzi wa nyumba ya Watumishi yenye Vyumba viwili (two in one) katika Zahanati ya Misuna Kijiji cha Misuna kata ya vya Mbelekese wilaya ya Iramba Mkoa wa Singida.
Mradi wa ujenzi wa nyumba ya mtumishi yenye vyumba viwili (two in one)inayojengwa katika Zahanati ya Mwanduigembe kijiji cha Mwanduigembe kata yaUrughu wilaya ya Iramba mkoa wa Singida.
Mradi wa ujenzi wa Zahanati ya Nsonga kijiji cha Nsonga kata ya Kaselya wilaya ya Iramba mkoa wa Singida.
Ujenzi wa nyumba ya mtumishi yenye vyumba viwili (two in one) katika Zahanati ya Nsonga Kijiji cha Nsonga kata ya Kaselya wilaya ya Iramba mkoa waSingida.
KIOMBOI, IRAMBA
Anuani ya Posta: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Simu: 026 - 2532253
Simu: 026 - 2533001
Barua pepe: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.