• Malalamiko |
    • Kuhusu sisi |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Maoni |
Iramba District Council
Iramba District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Sura
    • Maadili ya Misingi
    • Mikakati
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya kwanza
    • Afya
    • Kilimo
    • Elimu
    • Maji
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Utawala
    • Idara
      • Mipango, Takwimu & Ufuatiliaji
      • Afya
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Idara ya Ardhi na Mipango miji
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Maji
      • Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mazingira na Usafishaji
      • Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA NA UHUSIANO
      • Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo Cha Ufugaji Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Mfuko wa Maendeleo ya Jamii-TASAF
    • Muundo wa Halmashauri
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Riport
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
      • Fomu za Maombi kwa Wateja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao Mbalimbali
  • Salary Slip

Viongozi CHADEMA wajiunga na chama Tawala (CCM) wilayani Iramba mkoani Singida.

Posted on: July 30th, 2019

Wajumbe kwenye kikao maalum cha Halmashauri kuu ya CCM wilaya Iramba.


Viongozi CHADEMA wajiunga na chama Tawala (CCM) wilayani Iramba mkoani Singida. Mwanyekiti wa chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Iramba Mhe: Samwel Ashery Joel amepokea viongozi hao katika kikao maalum cha Halmashauri kuu ya CCM wilaya Iramba.

Wanachama hao wamepokelewa pia na Mkuu wa wilaya ya Iramba Mhe: Emmanuel Luhahula, Mbunge wa Jimbo la Iramba Mhe: Dkt Mwigulu Nchemba na wajumbe wa Halmashauri Kuu CCM wilaya ya Iramba ambapo wanachama hao wapya walikula kiapo cha kujiunga na CCM wilayani Iramba.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti, Wanachama hao wamesema, wameamua kujiunga na CCM kile wanachodai kuunga mkono juhudi za Mhe: Rais Dkt Pombe Joseph Magufuli.

Akizungumza Mwenyekiti wa Kitongoji cha Malendi kata ya Mseko amesema, mimi naitwa Magulya Malingo mwenyeji wa kijijij cha Mseko na mwenyekiti wa Kitongoji cha Malendi kijiji cha Mseko kupitia chama cha Chadema, nimeamua kujiunga na CCM ili kuunga mkono juhudi za Mhe: Rais Dkt Pombe Joesph Magufuli kwa kuwa anayoyafanya ndo tunayohitaji alisema Malingo.

Kwa upande wake Peter John Kwalu amesema “Mim ni mwneyekiti wa kijiji cha Tintigulu, kupitia Chadema, kazi za Mhe: Rais Dkt Pombe Joseph Magufuli zimenivuta sana Pia kazi za Mhe: Mbunge,Dkt Mwigulu Nchemba zimenivuta. nimeletewa mbao, mabati, saruji na serikali, Nimejiunga na CCM ili kuunga mkono juhudi za chama tawala, nilichokiona Chadema ni shida nyingi alisema Kwalu.

Kwa upandea wake Ndg Fanuel Daniel Mkitila Mwenyeji wa Kisonga Shelui kata ya Mgongo, mnazimu wa chama cha Chadema kata ya mgongo amesema “nilipitia katiba ya chama cha CCM na ilinigusa na kunishawishi kulingana na yale yaliyomo kwenye katiba, kwa kuonyesha mguso huu nilichangia madawati 60 na mifuko ya saruji 100 kwa ajili ya ujenzi wa hostel ya shule ya sekondari Mgongo ili kuunga mkono juhudi za Mhe: Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dkt Pombe Joseph Magufuli kwa hiyo nimejitokeza na kujiunga na CCM ili tushirikiane na tufanye mambo makubwa zaidi.

Mwenyekiti wa baraza la wanawake wilaya ya Iramba kupitia Chadema, Ndg Agnes Nasania Amos amesema “natokea Kata ya Shelui, siku ya leo nimeamua kujiunga na CCM, nimekuja kuunga mkono juhudi za Mhe Rais. Dkt Pombe Joseph Magufuli. Naomba mnipokee.


Tangazo

  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI June 05, 2025
  • ZOEZI LA CHANJO YA KITAIFA YA HOMA YA MAPAFU KWA NG'OMBE, SOTOKA KWA MBUZI NA KONDOO, NA MDONDO KWA KUKU January 08, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU KWA ROBO YA PILI YA MWAKA WA FEDHA 2024/2025. March 12, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI IRAMBA October 02, 2024
  • Angalia Zaidi

Habari mpya

  • DC MWENDA ATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI YA AMALI KITUKUTU

    May 08, 2025
  • KAMATI YA FEDHA, UONGOZI NA MIPANGO YA HALMASHAURI YA WILAYA YA IRAMBA YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

    May 06, 2025
  • DC MWENDA ATOA WITO KWA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI KUIMARISHA UFUNDISHAJI KWA MADARASA YA MITIHANI

    May 06, 2025
  • JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI WILAYANI IRAMBA LATOA ELIMU YA KINGA DHIDI MAJANGA YA MOTO KWA MADIWANI NA WANANCHI

    May 02, 2025
  • Angalia Zaidi

Video

wanafunzi wakiimba wimbo wa TAZAMA RAMANI katika maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika wilayani Iramba
Video Zaidi

Linki za Haraka

  • Organisation Structure
  • Mission and Vision
  • Reports
  • Water Department

Linki Zinazohusiana

  • OFISI YA RAIS-TAMISEMI
  • OFISI YA RAIS-UTUMISHI NA UTAWALA BORA
  • WATUMISHI PORTAL
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA
  • SEKRETARIETI YA AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Kuhusu sisi

    KIOMBOI, IRAMBA

    Anuani ya Posta: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA

    Simu: 026 - 2532253

    Simu: 026 - 2533001

    Barua pepe: ded.irambadc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Faragha
    • Kanusho
    • FAQ
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.