• Malalamiko |
    • Kuhusu sisi |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Maoni |
Iramba District Council
Iramba District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Sura
    • Maadili ya Misingi
    • Mikakati
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya kwanza
    • Afya
    • Kilimo
    • Elimu
    • Maji
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Utawala
    • Idara
      • Mipango, Takwimu & Ufuatiliaji
      • Afya
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Idara ya Ardhi na Mipango miji
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Maji
      • Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mazingira na Usafishaji
      • Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA NA UHUSIANO
      • Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo Cha Ufugaji Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Mfuko wa Maendeleo ya Jamii-TASAF
    • Muundo wa Halmashauri
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Riport
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
      • Fomu za Maombi kwa Wateja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao Mbalimbali
  • Salary Slip

WAKAZI WA KIOMBOI WAENZI UTAMADUNI KUPITIA MICHEZO YA JADI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 29, 2025

Posted on: October 19th, 2025



Fainali ya Bonanza la Michezo ya Jadi ilifanyika Stendi kuu ya Mabasi Kiomboi Oktoba 25-26, 2025 ikiwakutanisha mashabiki wa michezo ya bao, drafiti na karata kwa burudani na ushindani.


Tukio hilo lililenga kuimarisha umoja, kuenzi michezo ya Jadi na kuhamasisha wachezaji wa michezo hiyo kujitokeza kupiga kura siku ya Uchaguzi mkuu ifikapo Oktoba 29, 2025.


Akizungumza wakati wa ufunguzi wa Bonanza hilo Katibu Tawala wa Wilaya ya Iramba Bi. Bupe Mwakibete alitoa wito kwa wachezaji na mashabiki wa michezo Iramba kujitokeza kwa wingi kupiga kura kwa maendeleo ya michezo na nchi kwa ujumla.


"Nitoe wito kwenu kwamba, ili tupate viongozi sahihi wa kuendeleza michezo na maendeleo mengine katika Wilaya yetu na kitaifa kwa ujumla, tuchague viongozi ambao ni sahihi na wenye maono mema. Na tuhamasishane kutunza amani." Alisema Bi. Mwakibete.


Kwa upande wake Afisa Maendeleo ya Michezo Wilaya Ndg. John Mghana aliwapongeza wachezaji na mashabiki wote waliojitokeza katika michezo hiyo akiwasisitiza kuenzi michezo ya Jadi.


Bonanza hilo liliongozwa na kauli mbiu isemayo “Michezo ya jadi ni urithi wetu – tuienzi, tuifurahie!” lilishindanisha wachezaji wapatao 48 kutoka vituo vya michezo ya jadi 4. Takribani mashabiki 140 walijitikeza.

Tangazo

  • TANGAZO LA KUTEULIWA NA KUITWA KWENYE MAFUNZO (WASIMAMIZI WA VITUO NA MAKARANI WAONGOZAJI WAPIGA KURA) October 23, 2025
  • ZOEZI LA CHANJO YA KITAIFA YA HOMA YA MAPAFU KWA NG'OMBE, SOTOKA KWA MBUZI NA KONDOO, NA MDONDO KWA KUKU January 08, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU KWA ROBO YA PILI YA MWAKA WA FEDHA 2024/2025. March 12, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI June 05, 2025
  • Angalia Zaidi

Habari mpya

  • KIKAO CHA KAMATI YA LISHE NGAZI YA HALMASHAURI KWA KIPINDI CHA ROBO YA KWANZA YA MWEZI JULAI HADI SEPTEMBA 2025 CHAFANYIKA

    October 20, 2025
  • KUELEKEA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 29, 2025

    October 20, 2025
  • WAKAZI WA KIOMBOI WAENZI UTAMADUNI KUPITIA MICHEZO YA JADI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 29, 2025

    October 19, 2025
  • DAS MWAKIBETE ASHIRIKI BONANZA LA MICHEZO YA JADI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 29, 2025

    October 25, 2025
  • Angalia Zaidi

Video

wanafunzi wakiimba wimbo wa TAZAMA RAMANI katika maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika wilayani Iramba
Video Zaidi

Linki za Haraka

  • Organisation Structure
  • Mission and Vision
  • Reports
  • Water Department

Linki Zinazohusiana

  • OFISI YA RAIS-TAMISEMI
  • OFISI YA RAIS-UTUMISHI NA UTAWALA BORA
  • WATUMISHI PORTAL
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA
  • SEKRETARIETI YA AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Kuhusu sisi

    KIOMBOI, IRAMBA

    Anuani ya Posta: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA

    Simu: 026 - 2532253

    Simu: 026 - 2533001

    Barua pepe: ded.irambadc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Faragha
    • Kanusho
    • FAQ
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.