• Malalamiko |
    • Kuhusu sisi |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Maoni |
Iramba District Council
Iramba District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Sura
    • Maadili ya Misingi
    • Mikakati
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya kwanza
    • Afya
    • Kilimo
    • Elimu
    • Maji
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Utawala
    • Idara
      • Mipango, Takwimu & Ufuatiliaji
      • Afya
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Idara ya Ardhi na Mipango miji
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Maji
      • Fedha na Biashara
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Mazingira na Usafishaji
      • Elimu Msingi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA NA UHUSIANO
      • Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo Cha Ufugaji Nyuki
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Mfuko wa Maendeleo ya Jamii-TASAF
    • Muundo wa Halmashauri
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Riport
    • Sheria
    • Fomu za Maombi
      • Fomu za Maombi kwa Wateja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa Kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha
    • Habari
    • Matukio
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Vivutio vya Utalii
    • Ufugaji
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao Mbalimbali
  • Salary Slip

WAKUU WA WILAYA 3 WA TANZANIA WATOA MHADHARA MAALUM CHUONI CHINA (CHINA AGRICULTURAL UNIVERSITY-CAU)

Posted on: April 20th, 2025

Wakuu wa Wilaya Suleiman Yusuph Mwenda (Iramba), Remidius Mwema Emmanuel (Kiteto), Michael John Semindu (Mbulu) walipata heshima maalum ya kutoa Mhadhara katika Chuo Kikuu Cha Kilimo nchini China (China Agricultural University - CAU) kitivo cha “Humanities and Management Studies “


April 13,2025 Wakiwa chuoni hapo, viongozi hao walipata fursa ya kutoa Mhadhara kwa wanafunzi kutoka Tanzania na mataifa mengine (CAU - International Students) pamoja na menejimenti ya chuo hicho.


Viongozi hawa watatu (3) walikuwa wanafunzi katika chuo hicho wakisoma shahada ya Uzamili “Rural Development and Management Studies” takribani miaka nane (8) data,Kufika kwao chuoni hapo katika kipindi hiki ni kumbukumbu muhimu na kutambua wao kama “CAU Alumni” kutoka nchini Tanzania.


Profesa Tang Lixia ambaye pia ni Naibu Mkurugenzi wa ofisi ya mahusiano ya ndani ya chuo ( Deputy Director of office for the domestic Cooperation at China Agricultural University - CAU) wakati akiwasilisha salamu zake kwa niaba ya chuo alisema; “wakati wote viongozi hao wametambulika kama wahitimu wa mfano na mahiri (Outostanding Graduates) ambao wamewahi kusoma chuo kikuu hapo, na mara zote wametumika kama wanafunzi kwa wanafunzi waliopo chuoni hususani wanafunzi wa kimataifa”,


Mapema. wakati wa siku rafiki, Katibu Msaidizi wa CPC ( Deputy Party Secretary) kutoka chuo hicho Comrade WANG Yang amesema China inajivunia mahusiano na Afrika yote na akifanya kazi kwa muda mrefu katika ushirikiano wa Tanzania na wote wa CPC ( Deputy Party Secretary) mahiri wa Mhe. Xi Jinping (Rais wa China) na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan (Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania).


Wakuu wa Wilaya hao kwa sasa wako Jijini Beijing nchini China kwa ziara maalum ya mafunzo, ambapo pamoja na mambo mengine wanajifunza mfumo wa Utawala na Mageuzi ya historia ya Umma kwa nchi za Afrika (Reform and Governance of State - Owned Enterprises for African Countries ) ikiwa ni pamoja na kutembelea na kupata uzoefu wa majimbo kadhaa nchini humo hatua inayolenga kuagiza mageuzi ya nchi za Afrika.

Tangazo

  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI June 05, 2025
  • ZOEZI LA CHANJO YA KITAIFA YA HOMA YA MAPAFU KWA NG'OMBE, SOTOKA KWA MBUZI NA KONDOO, NA MDONDO KWA KUKU January 08, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU KWA ROBO YA PILI YA MWAKA WA FEDHA 2024/2025. March 12, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI IRAMBA October 02, 2024
  • Angalia Zaidi

Habari mpya

  • DC MWENDA ATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI YA AMALI KITUKUTU

    May 08, 2025
  • KAMATI YA FEDHA, UONGOZI NA MIPANGO YA HALMASHAURI YA WILAYA YA IRAMBA YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

    May 06, 2025
  • DC MWENDA ATOA WITO KWA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI KUIMARISHA UFUNDISHAJI KWA MADARASA YA MITIHANI

    May 06, 2025
  • JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI WILAYANI IRAMBA LATOA ELIMU YA KINGA DHIDI MAJANGA YA MOTO KWA MADIWANI NA WANANCHI

    May 02, 2025
  • Angalia Zaidi

Video

wanafunzi wakiimba wimbo wa TAZAMA RAMANI katika maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika wilayani Iramba
Video Zaidi

Linki za Haraka

  • Organisation Structure
  • Mission and Vision
  • Reports
  • Water Department

Linki Zinazohusiana

  • OFISI YA RAIS-TAMISEMI
  • OFISI YA RAIS-UTUMISHI NA UTAWALA BORA
  • WATUMISHI PORTAL
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI
  • BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA
  • SEKRETARIETI YA AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Kuhusu sisi

    KIOMBOI, IRAMBA

    Anuani ya Posta: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA

    Simu: 026 - 2532253

    Simu: 026 - 2533001

    Barua pepe: ded.irambadc@singida.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera za Faragha
    • Kanusho
    • FAQ
    • Sitemap
    • Huduma

Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.