WATUMISHI WA AJIRA MPYA WILAYANI IRAMBA WAPEWA MAFUNZO YA UTUMISHI WA UMMA
Novemba 18, 2025
Halmashauri ya Wilaya ya Iramba imetoa mafunzo ya siku mbili (Novemba 17-18, 2025) kwa watumishi wa ajira mpya ili kuwajengea uwezo na uelewa wa pamoja kuhusu masula mablimbali katika Utumishi wa umma.
Mada zilizofundishwa ni pamoja na Muundo wa Serikali za Mitaa/Haki na wajibu wa wa mtumishi wa Umma, elimu kuhusu PSSF, uendeshaji wa vikao, elimu kuhusu OSHA, maadili katika utumishi wa umma, elimu kuhusu WSF, Huduma kwa Mteja, pamoja na Bima.
KIOMBOI, IRAMBA
Anuani ya Posta: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Simu: 026 - 2532253
Simu: 026 - 2533001
Barua pepe: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.