Pichani ni Mkuu wa wilaya ya Iramba Mhe. Emmanuel Luhahula akizungumza na wananchi wake katika kata ya Old Kiomboi tarafa ya Kisiriri wilaya ya Iramba mkoani Singida. Mkutano huu wa hadhara umefanyika mnamo tarehe 30 May, 2019. Miongoni mwa mengi aliyozungumza mkuu wa wilaya ni pamoja na wananchi kutofumbia macho watu wanaokuja kuvuruga Amani kwa kusingizio cha siasa, wananchi kujiwekea chakula kwa matumizi ya baadae, kutatua migogoro ya Ardhi na kadhalika. Pia Mhe. Mkuu wa wilaya amewapongeza wajasiliamali kwa kujitokeza kwa wingi kuchukua vitambulisho vya wajasiliamali.
KIOMBOI, IRAMBA
Anuani ya Posta: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Simu: 026 - 2532253
Simu: 026 - 2533001
Barua pepe: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.