ZOEZI LA UPANDAJI MITI KUELEKEA MAADHIMISHO YA MIAKA 61 YA MUUNGANO WA TANZANIA
Katibu Tawala Wilaya ya Iramba Mkoani Singida Bi Bupe Mwakibete amewaongoza Viongozi na Wananchi wa kitongoji Cha Kizega kupanda Miti katika Shule Mpya ya Sekondari Kizega ikiwa ni maandalizi ya kuelekea Maadhimisho ya Miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar April 26,2025.
KIOMBOI, IRAMBA
Anuani ya Posta: P.O BOX 155. KIOMBOI-IRAMBA
Simu: 026 - 2532253
Simu: 026 - 2533001
Barua pepe: ded.irambadc@singida.go.tz
Copyright ©2017 Iramba District Council . All rights reserved.