Posted on: January 31st, 2025
Baraza la Biashara la Wilaya Iramba limefanyika Januari 31, 2025 katika Ukumbi Mikutano wa Halmashauri.
Baraza hilo limeongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mkoani Singida ambaye pia ni Mwe...
Posted on: January 30th, 2025
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Iramba Alhamisi Januari 30,2025 limeketi Mkutano wake wa kwanza wa robo ya pili ya mwaka wa fedha 2024/2025 kwenye ukumbi Mkubwa wa Mikutano wa Halmashau...
Posted on: January 29th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mkoani Singida Suleiman Yusuph Mwenda ameagiza Maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wilayani humo kutumia ubunifu, Weledi pamoja na busara katika kudhibiti mia...